Siasa

Kamala awasili Tanzania kwa ziara

MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Karris amewasili Dar es Salaam usiku wa Jumatano kwa ziara yake rasmi ya kiserikali…

Soma Zaidi »

‘Tutaendelea kushirikiana kwenye michezo, utamaduni’

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk Pindi Chana ameeleza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na China katika uendelezaji wa…

Soma Zaidi »

Wapinzani wamsifu Samia ujio wa Kamala

VYAMA vya siasa nchini vimesema Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris anakuja kufanya ziara nchini kwa kuwa Rais Samia…

Soma Zaidi »

Kamala: Afrika muhimu kwa usalama

 MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege…

Soma Zaidi »

Kinana aongoza kikao cha TCD

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, Mhe. Abdulrahman Kinana leo tarehe 28 Machi 2023 ameongoza kikao (SUMMIT) cha wajumbe wa…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva ziara Makamu wa Biden

WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris anatarajiwa kuwasili…

Soma Zaidi »

Mgombea ujumbe NEC arudisha fomu Arusha

MFANYABIASHARA Maarufu Jijini Arusha, Richard Poul maarufu Marcas amajitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi Moja ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu…

Soma Zaidi »

Mkurugenzi Iringa akingiwa kifua

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Stephen Mhapa amemkingia kifua mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Bashir Muhoja anayelalamikiwa kutokuwa na…

Soma Zaidi »

Mbunge EALA awania ujumbe NEC

MBUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) James ole Millya amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi za wajumbe…

Soma Zaidi »

Mfanyabiashara Madini ajitosa ujumbe NEC Arusha

MFANYABIASHARA maarufu mkoani Arusha anayejihusisha na biashara ya madini ikiwemo Tanzanite, Hussein Gonga ameamua kujitosa kuwania Ujumbe wa Halmashauri Kuu…

Soma Zaidi »
Back to top button