Siasa

Sheikh wa Mkoa, Wanahabari waula

KAIMU Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Walid Alhad Omar ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu,Afya na Malezi kwenye…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti CCM Katavi hataki viongozi legelege

MWENYEKITI Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Katavi, Idd Kimanta, amewataka viongozi wa chama hicho wilayani Mpanda kufanya kazi kwa…

Soma Zaidi »

Lisu arejea Ubelgiji

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Tundu Lisu amerejea nchini Ubelgiji kufanya mchakato wa kuhuisha…

Soma Zaidi »

Dk Tax ahudhuria mkutano Mawaziri AU

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa…

Soma Zaidi »

‘Tutaendelea kujenga ofisi za kisasa, zenye hadhi’

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), NIdara ya Organaizesheni, Komredi Issa Haji Ussi Gavu…

Soma Zaidi »

Ujumbe mfuko wa uwekezaji China, Afrika kutua nchini

Ujumbe wa Mfuko wa Uwekezaji wa China na Afrika (CADFUND) unatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania mnamo Aprili, 2023. Ahadi hiyo…

Soma Zaidi »

Gavu ashiriki ujenzi tawi la CCM Cheju

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni,  Komredi Issa Haji Ussi Gavu akishiriki ujenzi wa Taifa…

Soma Zaidi »

Kihenzile ambwaga Dk Ishengoma

MBUNGE wa Mufindi Kusini David Kihenzile ameshinda kwa kishindo kwa mara ya pili kuongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya…

Soma Zaidi »

Dk Tax atoa pole Uturuki

WAZIRI  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax  amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Uturuki…

Soma Zaidi »

12 wadakwa kuvujisha mitihani

WATUMISHI wa  12 wa Baraza la Mitihani wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuvujisha mitihani ya kidato cha…

Soma Zaidi »
Back to top button