Siasa

Msajili awapongeza viongozi vyama vya siasa

MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amewapongeza viongozi wote wa vyama vya 19 vya siasa vyenye usajili…

Soma Zaidi »

Mufindi Kusini waomba mbolea ya ruzuku

MADIWANI, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa matawi na kata Jimbo la Mufindi Kusini wameiomba serikali kuwapelekea mbolea ya…

Soma Zaidi »

Samia: Tunafanyia kazi marekebisho ya sheria mbalimbali

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Tume ya Uchaguzi iko njiani kurekebisha Sheria ya Uchaguzi. “Tutakapofikia hatua fulani…

Soma Zaidi »

Samia: Tutaelewana tu kama Katiba mpya au marekebisho

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kukwamua mchakato wa marekebisho ya Katiba kwa namna watakavyokubaliana na…

Soma Zaidi »

Vyama vya siasa ruksa mikutano ya hadhara

#BREAKING: Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ameondoa zuio la kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa kwa…

Soma Zaidi »

ADC wapongeza Samia kuitisha mkutano vyama vya siasa

KATIBU Mkuu wa Chama cha ‘Alliance For the Democratic Change’ (ADC), Doyo Hassan Doyo amesema kitendo cha Rais Dk Samia…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi, ambazo Tanzania inaweza…

Soma Zaidi »

Wagonjwa saratani wafarijiwa

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametembelea wagonjwa wa Taasisi ya Saratani Ocean Road ili kuwajulia hali na…

Soma Zaidi »

Walioanza kujipitisha ubunge, udiwani waonywa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita, Nicolous Kasendamila, amekemea wanachama kuanza kampeni za kunyemelea nafasi za udiwani na…

Soma Zaidi »

CCM wataja mambo yaliyochangia ushindi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetaja mambo mbalimbali yaliyochangia kushinda katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Amani Zanzibar pamoja na kata…

Soma Zaidi »
Back to top button