Siasa

Rais Samia ateuwa 9 Kuboresha Taasisi za Haki

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia, Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchi wakiwemo…

Soma Zaidi »

Katavi wafanya kongamano kumpongeza Samia

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, kimefanya kongamano la kumpongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa zuio la…

Soma Zaidi »

‘CCM haiogopi mikutano ya hadhara’

HATUA ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan kuondoa zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, imepongezwa na Chama…

Soma Zaidi »

Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Ikulu

#BREAKING: Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023…

Soma Zaidi »

Dodoma wapongeza kuruhusiwa mikutano ya vyama

MKOA wa Dodoma umempongeza Rais  Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa katazo la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.…

Soma Zaidi »

Viongozi vyama vya siasa wamfagilia Samia

BAADHI ya viongozi wa  vyama vya siasa nchini wameshukuru hatua iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikia maridhiano na…

Soma Zaidi »

UWT wapongeza kuruhusiwa mikutano ya siasa

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT),  umesema kuwa uamuzi wa kuruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa…

Soma Zaidi »

Njombe wapongeza kuruhusiwa mikutano ya siasa

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe. Scolastika Kevela, amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa…

Soma Zaidi »

Wazazi wampongeza Samia kuruhusu mikutano ya siasa

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Fadhili Maganya  amempongeza Rais  Dk Samia Suluhu Hassan kwa  kuruhusu  mikutano ya hadhara ya…

Soma Zaidi »

ADC wampongeza Samia kuruhusu mikutano ya siasa

CHAMA Cha Alliance For Democratic Change (ADC)  kimempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa zuio la kufanyika kwa mikutano…

Soma Zaidi »
Back to top button