Siasa

Mbunge wa Ulanga aonya fedha Mfuko wa Jimbo

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham, amesema hatamfumbia macho mtu yeyote atakayekwamisha mradi wowote unaosimamiwa kupitia…

Soma Zaidi »

CCM Tanga kuweka nguvu utatuzi migogoro ya ardhi

 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga,  kimejipanga kuhakikisha kinamaliza migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali mkoani humo, ambayo imekuwa…

Soma Zaidi »

Shaka: CCM tunajivunia mafanikio lukuki Zanzibar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinajivunia mabadiliko makubwa yaliyofikiwa Zanzibar katika kipindi cha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ambayo yamewafanya…

Soma Zaidi »

Mtemvu alia kukosekana kadi za elektroniki

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Mkoa wa Dar es Salaam  Abbas Mtemvu amelia kukosekana kwa kadi za Elektroniki za…

Soma Zaidi »

KAMATI ya Utekekezaji Jumuiya ya Wazazi  CCM Dar yanolewa

VIONGOZI wa Kamati ya utekekezaji Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kufanya kazi itakayoacha alama, kwa …

Soma Zaidi »

‘Mtafsiri kwa vitendo maana ya uhuru na mapinduzi’

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kutafsiri kwa vitendo maana halisi ya uhuru na mapinduzi kwa kuleta…

Soma Zaidi »

Bavicha: Uzoefu wa kazi usiwe kigezo cha ajira

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha…

Soma Zaidi »

CCM Tanga yaonya siasa za vurugu

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, kimesema hakitamvumilia mwanasiasa yeyote ndani ya chama hicho ambaye atafanya siasa za vurugu…

Soma Zaidi »

Tutuba Gavana mpya BOT

RAIS  Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Tutuba  kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Awali Tutuba alikua Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »

Chadema yatangaza kuzindua mikutano ya hadhara

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangaza uzinduzi rasmi wa mikutano ya hadhara kitaifa ya chama hicho…

Soma Zaidi »
Back to top button