Siasa

MCC Asas: “Msiogope, tarehe 29 amani, kapigeni kura

IRINGA: MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri ‘Asas’, amewahakikishia Watanzania kuwa uchaguzi mkuu utakaofanyika…

Soma Zaidi »

Dk Samia kuhitimisha kampeni Mwanza

MWANZA: MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu…

Soma Zaidi »

Wasimamizi wa uchaguzi Ilemela wapewa mafunzo

MWANZA: HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imetoa mafunzo kwa wasimamizi na wasaidizi wa vituo 2870 kutoka manispaa hiyo.…

Soma Zaidi »

Vijana Kigoma wafunguka kuelekea Oktoba 29

KIGOMA; KUELEKEA uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani Oktoba 29, vijana mkoani Kigoma wamewataka vijana wenzao kujitokeza kwa wingi…

Soma Zaidi »

watendaji vituo vya kura washauriwa kupitia sheria

MTWARA: WATENDAJI wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara wametakiwa kusoma kwa umakini katiba, sheria na…

Soma Zaidi »

Makonda kuifanya Arusha kitovu cha uchumi

ARUSHA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Paul Makonda ameeleza kuwa akiingia bungeni atahakikisha mkoa…

Soma Zaidi »

Amani yatajwa nguzo ya maendeleo ya taifa

MWANZA: VIJANA nchini wameombwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kupiga kura, huku wakisisitizwa kudumisha amani ambayo imekuwa nguzo ya…

Soma Zaidi »

Mgombea urais UMD aahidi elimu, afya bora

DAR ES SALAAM: Mgombea urais kupitia chama cha UMD, Mwajuma Mirambo, ameendelea na kampeni zake za kunadi sera za chama…

Soma Zaidi »

Taasisi ya TAJU yasisitiza amani uchaguzi mkuu

DAR ES SALAAM: Taasisi ya Tanzania Jumuishi ( TAJU) imetoa wito kwa watanzania kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani…

Soma Zaidi »

Serikali yatangaza mapumziko Oktoba 29

RAIS Samia Suluhu Hassan ameidhinisha Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko ili kuwawezesha wananchi wenye sifa stahiki wakiwemo watumishi…

Soma Zaidi »
Back to top button