Dini

Samia kumalizia msikiti uliyoanzishwa na JPM

GEITA; Chato. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, ameahidi kumalizia kujenga msikiti mkubwa wa Wilaya ya…

Soma Zaidi »

‘Ubaya wa mwanaume unatengezwa na shetani’

MTWARA; WANAWAKE wametakiwa kufahamu kuwa hakuna mwanaume mbaya, bali ubaya unaonekana kwa baadhi ya wanaume unatengenezwa na shetani. Mtumishi na…

Soma Zaidi »

Maaskofu kumpokea Kardinali Rugambwa leo

MWADHAMA Protase Kardinali Rugambwa (63) anatarajiwa kurejea nchini leo akitoka Vatican alikosimikwa kuwa kardinali. Septemba 30, mwaka huu Kiongozi wa…

Soma Zaidi »

Watanzania wahamasishwa kutunza amani

KAMATI ya Amani ya viongozi wa dini Mkoa wa Mwanza, wameiomba serikali kuendelea kuandaa makongamano kwa kuungana na viongozi wa…

Soma Zaidi »

Samia: Hakuna mwenye ubavu kuligawa Taifa

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ameamua kunyamaza kimya na ataendelea kunyamaza kimya, lakini hakuna mwenye misuli na ubavu  wa…

Soma Zaidi »

Sheikh Mkoa wa Dodoma ampa tano Mavunde

WAUMINI na viongozi wa dini wa Kiislamu wakiongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajabu Shaban, wamemshukuru Mbunge…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini wanaojihusisha na siasa waonywa

VIONGOZI wa dini wamekemea vikali tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kusimama katika majukwaa ya kisiasa kunadi vyama vya…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa pole kifo cha Baasaleh

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa waumini wa dini ya Kiislamu, kufuatia kifo cha mwanazuoni Sheikh Ali Baasaleh “Nimepokea…

Soma Zaidi »

‘Watoto wa kiume hali ni mbaya wakumbukwe’

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk Stanley Hotay, amesema katika jamii sasa mtoto wa kiume amesahauliwa, huku…

Soma Zaidi »

Rais Samia ampongeza Rugambwa kuwa Kardinali

RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Protase Rugambwa kwa kuteuliwa kuwa Kardinali. Katika…

Soma Zaidi »
Back to top button