Dini

Askofu Mdoe atoa wito kumfuata Mungu

MTWARA: Mhashamu Titusi Mdoe Askofu wa Jimbo Katoliki Mtwara, amewataka waumini kuendelea kufuata njia za Mwenyezi Mungu kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia achangia mil 50/- ujenzi wa kanisa Kigoma

KIGOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya  Maria Mtakatifu…

Soma Zaidi »

Papa Leo XIV mwenyeji Tanzania

VIONGOZI wa Kanisa Katoliki wamethibitisha kwamba, Papa Leo XIV si mgeni nchini baada ya kukanyaga ardhi hiyo akiwa Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Makardinali kuanza kukutana Mei 7 kumchagua Papa

DAR ES SALAAM; MAKARDINALI 135 watakutana Mei 7, mwaka huu katika kongamano la kumchagua kiongozi wa Kanisa Katoliki. Taarifa kutoka…

Soma Zaidi »

Mufti ateua mshauri wa dini, uchumi

DODOMA; SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir amemteua Ismail Dawood kuwa mshauri wake katika masuala ya dini, uchumi, maendeleo…

Soma Zaidi »

Wasanii wajitokeza tuzo za Injili

WAANDAAJI wa Tuzo za Muziki wa Injili (TGMA) wamesema wametiwa moyo na muitiko wa wasanii wa muziki wa injili nchini…

Soma Zaidi »

Dk. Sule: amani muhimu kuliko madaraka

MWENYEKITI wa Taasisi ya Islaah Islamic, Dk. Seif Sule maarufu kama Dk. Sule ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanalinda amani…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini watakiwa kuepuka uchochezi uchaguzi mkuu

DAR ES SALAAM: VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kuepuka kauli za uchochezi katika kipindi kuelekea uchaguzi mkuu, pamoja na kutokuingilia…

Soma Zaidi »

PAPA FRANCIS; Taa ya unyenyekevu, amani ‘iliyozimika’

PAPA Francis ni Papa pekee (Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani), aliyeshiriki kumchagua papa (mtangulizi wake) Papa Benedicto XVI mwaka…

Soma Zaidi »

Papa Francis kuzikwa jumamosi

VATICAN : MAZISHI ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis yamepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika Kanisa Kuu la…

Soma Zaidi »
Back to top button