Dodoma

Matuta 10 yawasubiri wachelewaji shuleni

DODOMA: MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema wanafunzi watakaochelewa kuripoti kidato cha kwanza watapata adhabu ya kulima matuta…

Soma Zaidi »

Samia avunja bodi TCRA

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) pia amemteua Mkurugenzi mpya wa Shirika la…

Soma Zaidi »

Biteko atoa maagizo makali kwa EWURA

DODOMA: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa…

Soma Zaidi »

PURA yajivunia mafanikio kupitia Baraza la Wafanyakazi

DODOMA: Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Charles Sangweni amesema ufanisi…

Soma Zaidi »

UDOM waandaa mitaala ufugaji nyuki, samaki

CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinaandaa mitaala ya muda mfupi kwa ajili ya wananchi kupata elimu juu ya ufugaji nyuki,…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Swaswa wapunguziwa mwendo

WANAFUNZI wa Ipagala jijini Dodoma wamepunguziwa mwendo baada ya serikali kukamilisha ujenzi wa Shule ya Msingi Swaswa ambayo imekuwa hitaji…

Soma Zaidi »

Mnara mrefu Afrika kujengwa Tanzania

“Nimevutiwa sana na ramani ya Uwanja wa Mashujaa. Uwanja huu utakuwa na migahawa ya kimataifa, utakuwa na kumbi za mikutano,…

Soma Zaidi »

Samia mgeni rasmi Siku ya Mashujaa

AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kitaifa Julai…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maagizo Mji wa Serikali

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza ifikapo Oktoba mwaka huu, majengo ya serikali yaliyopo Mtumba jijini Dodoma yawe yamekamilika ili azma…

Soma Zaidi »

Chongolo aipa tano serikali miradi ya DUWASA         

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameipongeza serikali katika kutatua changamoto ya maji jijini  Dodoma Chongolo ameyasema…

Soma Zaidi »
Back to top button