Dodoma

CAG abaini hitilafu makubaliano ya kukiri kosa

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka na maafisa wake walikiuka…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 762 kutekeleza SGR

SERIKALI imetoa jumla ya Sh bilioni 762. 99 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa…

Soma Zaidi »

‘Tumieni vitabu vyenye ithibati ya Kamishna wa Elimu’

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk Aneth Komba amewataka walimu kuhakikisha wanatumia vitabu vya kiada na ziada…

Soma Zaidi »

TRC yajivunia kujenga reli ya kisasa ndefu Afrika

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika inayojenga reli ya…

Soma Zaidi »

Vijana waongoza kutorejesha mikopo

VIKUNDI vya vijana vimetajwa kuongoza kwa kutorejesha fedha za mikopo zinazotolewa  na halmashauri. Akizungumza wakati wa mkutano wa vijana waliopatiwa…

Soma Zaidi »

Mavunde awagusa wafanyabiashara Majengo

MBUNGE wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde amechangia sh milioni 2 katika kikundi cha Mavunde Garden kilichopo soko la majengo ili…

Soma Zaidi »

Serikali kujenga mabwawa 14 kilimo cha umwagiliaji

SERIKALI imekusudia kujenga mabwawa makubwa mapya 14 nchi nzima kwajili ya Kufanya kilimo cha umwagiliaji na kuacha kutegemea mvua. Katika…

Soma Zaidi »

Tulia amfagilia Rais Samia kwa maono kwenye kilimo

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson, amesema Tanzania itailisha dunia na itatambua kuwa yanatoka Tanzania. Pia amempongeza Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Rais Samia ataka matokeo kilimo biashara

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatimiza ahadi yake kuwezesha vijana kulima kibiashara kupitia programu ya mashamba makubwa na hataki…

Soma Zaidi »

Ugonjwa usiojulikana waua watano Kagera

WATU watano wamefariki Dunia na wengine wawili wakiwa hospitalini baada ya kuibuka kwa ugonjwa ambao bado haujajulikana huko Bukoba vijijini…

Soma Zaidi »
Back to top button