Dodoma

Vinara wanaochafua mazingira kukamatwa

OFISA Mazingira wa Jiji la Dodoma, Dickson Kimaro amewaagiza watendaji wote wa kata 41 na mitaa zaidi ya 220 kuwakamata…

Soma Zaidi »

Bwawa la Mtera kutumika kukabili upungufu wa maji

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inatarajia kukaa na kuchakata maoni na ushauri iliopokea kutoka kwa watalaamu…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Msaada wa kisheria kwa wanyonge utaimarisha amani

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kampeni ya huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia itasaidia kuboresha upatikanaji wa haki…

Soma Zaidi »

Majaliwa aonya wizi fedha za miradi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wasimamizi wa miradi wakiwamo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wazingatie maslahi ya taifa kwa…

Soma Zaidi »

Serikali: Watanzania wako salama Sudan

SERIKALI imesema Watanzania takribani 210 waliopo Sudan wakiwamo wanafunzi 171 wapo salama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

‘Tumieni mbegu za karanga, alizeti zilizofanyiwa utafiti’

MKURUGENZI Mtendaji wa Wafanyabiashara wa Mbegu Tanzania (TASTA),  Dk Bob Shuma amewataka wakulima kutumia mbegu bora za karanga na alizeti…

Soma Zaidi »

 Serikali yafungia mitandao inayojihusisha na ushoga

MAMLAKA nchini Tanzania katika kujaribu kulinda maadili na utamaduni wa Mtanzania, imeanza kuchukua hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungia…

Soma Zaidi »

Bei za mazao zashuka, vifaa vya ujenzi juu

WASTANI wa bei za mazao na bidhaa za chakula zimeshuka kwa asilimia 0.8 hadi 0.7 huku bei za vifaa vya…

Soma Zaidi »

337 ruksa kurudia mtihani kidato cha nne

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeruhusu wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne warudie kuufanya mwezi…

Soma Zaidi »

CAG apendekeza tathmini manufaa bei za mazao

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amependekeza serikali ifanye tathmini kuhakiki kama kuongezeka kwa bei za mazao…

Soma Zaidi »
Back to top button