Dodoma

HABARI KUU: Oktoba 7, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizojiri leo Oktoba 7, 2022

Soma Zaidi »

Kortini wakidaiwa kubaka, kulawiti wanafunzi

WANAUME wawili wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma,  wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kubaka na kulawiti mwanafunzi wa darasa…

Soma Zaidi »

Wizara yaongeza siku malalamiko ya ardhi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeongeza siku tatu za kusikiliza changamoto mbalimbali za ardhi  katika jiji la…

Soma Zaidi »

Miundombinu ya barabara kuendelea kuboreshwa

SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara, ili kufungua shughuli za kiuchumi, ambapo kwa sasa miudombinu ya barabara za wilaya…

Soma Zaidi »

Ndaruke aibuka kidedea CCM Kibiti

Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Kibiti mkoani Pwani kimepata viongozi wapya baada ya kufanyika uchaguzi wa ndani wa chama hicho…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Septemba 27, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 27, 2022 jioni.

Soma Zaidi »

Wafugaji watakiwa kuhifadhi malisho

WAFUGAJI nchini wametakiwa kuwa na utamaduni wa kuhifadhi malisho, ili kuweza kukabiliana na ukame unaotishia kuua mifugo. Kauli hiyo imetolewa …

Soma Zaidi »

WHO: Kila mtu anywe maziwa lita 200 kwa mwaka

JE, unajua kuwa unatakiwa unywe kiasi cha lita 200 za maziwa kwa mwaka? Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likipendekeza…

Soma Zaidi »

Samia aongoza kikao  CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Rais Samia Suluhu Hassan, leo ameongoza kikao cha Kamati Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu…

Soma Zaidi »

Waziri Aweso atoa maagizo changamoto ya maji Kibakwe

SERIKALI imewataka wahandisi wa maji kutekeleza majukumu yao ipasavyo, ili kuondoa tatizo la upatikanaji maji nchini na kuleta hali ya…

Soma Zaidi »
Back to top button