Fursa

Wanawake Kagera wapewa uwezo fursa za uvuvi

ZAIDI ya vikundi 100 vya wanawake wanaoishi kando ya visiwa vya Ziwa Victoria mkoani Kagera wameendelea kujengewa uwezo kupitia mashirika…

Soma Zaidi »

Msalala waanza kutoa mikopo vijana, wanawake

HALMASHAURI ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga imeanza mipango ya kutoa mikopo asilimia 10 kwa makundi ya wanawake, vijana na…

Soma Zaidi »

Serikali kuajiri watumishi Tabora

MKOA wa Tabora unatarajiwa kupata watumishi wapya zaidi ya 4,000 huku kada ya afya ikipata kipaumbele kikubwa kwenye mgawanyo wa…

Soma Zaidi »

Vijana 600,000 waajiriwa Jamukaya

VIJANA wapatao 600,000 kutoka Kanda ya Ziwa wamepata fursa za ajira katika kampuni ya Jambo Food Product ‘Jamukaya’ iliyopo kata…

Soma Zaidi »

Tanzania yapata elimu bure ya Finland

DAR-ES-SALAAM : TANZANIA ni miongoni mwa nchi zilizonufaika na mpango wa elimu bure wa Finland, ambapo hadi sasa wanafunzi zaidi…

Soma Zaidi »

Vijana 150 Iringa kupatiwa ujuzi wa kujiajiri

VIJANA 150 wenye umri wa miaka kati ya 15 na 24 walioko nje ya mfumo rasmi wa elimu mkoani Iringa,…

Soma Zaidi »

Tanzania, India kurejeleza taka ngumu

MAMLAKA nchini zimeanza kufanya kazi na mashirika ya kimataifa ikiwa ni pamoja na Kituo cha Sayansi na Mazingira cha India…

Soma Zaidi »

Kaya maskini 300 zawezeshwa kiuchumi

DODOMA: MRADI wa Kuwajengea Uwezo Wenye Ulemavu wanaoishi katika Kaya Maskini (DIG) katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, umesaidia kuzijengea…

Soma Zaidi »

Andengenye afichua mbadala wa ajira wahitimu JKT

KASULU, Kigoma: MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kutumia…

Soma Zaidi »

Nafasi za Kazi: A – Level Part-time Teachers

JOB OPPORTUNITIES A – Level Part-time Teachers Teachers Edencosult Company Limited (ECL), a reputable and experienced entity registered with CoI…

Soma Zaidi »
Back to top button