Kanda

Moto wateketeza maduka 17 soko la Buseresere Geita

AJALI ya moto imeteketeza maduka na vibanda 17 vya biashara katika soko la Buseresere wilayani Chato Mkoa wa Geita hali…

Soma Zaidi »

Mwenge wazindua mradi wa bil 2.7/-

Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa maji wenye thamani ya sh bilioni 2.7 ambao utahudumia wakazi zaidi ya 4000 katika…

Soma Zaidi »

Mradi visima majimboni Wilaya ya Geita wafikia 60%

WAKALA wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijni (RUWASA) wilaya ya Geita imeweka wazi kuwa imefikia asilimia 60 ya utekelezaji…

Soma Zaidi »

Kampeni ya Kisheria ya Mama Samia yanufaisha maelfu magerezani

JESHI la Magereza limesema kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, imeleta manufaa makubwa kwa wafungwa na…

Soma Zaidi »

PSSSF Kanda ya Kusini yawanoa Wanahabari

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ( PSSSF) Kanda ya kusini unaosimamia Mikoa ya Lindi, Mtwara na…

Soma Zaidi »

‘Mchumba’ amjeruhi mwenza, mtoto

MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Nyahera, Kata ya Tai, Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Night Mchama (27) na mwanawe mwenye…

Soma Zaidi »

Bil 19.17/- kujenga stendi ya kisasa Geita

HALMASHAURI ya Manispaa ya Geita imesaini mkataba wenye thamani ya sh bilioni 19.17 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa…

Soma Zaidi »

Bukoba Vijijini wapanda miti 500 ya matunda

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera  imeadhimisha siku ya mazingira duniani kwa kupanda miti mia tano ya matunda katika…

Soma Zaidi »

TMDA yateketeza tani 3.8 ya dawa zisizo na ubora Geita

OFISI ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi imeteketeza dawa zenye uzito wa tani 3.8…

Soma Zaidi »

Ulega: Wakandarasi wazembe imetosha

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali haitaongeza hata siku moja kwa mkandarasi ambaye atabainika ameshindwa kukamilisha mradi wa ujenzi…

Soma Zaidi »
Back to top button