Kanda

Hamis adaiwa kumuua baba yake akizuiwa ‘kumbemenda’ mtoto 

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Athumani (23) mkazi wa Chigungwe wilayani Tandahimba kwa tuhuma za kumuua baba yake…

Soma Zaidi »

Mtaka awapa angalizo ambao hawajahesabiwa

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka (pichani) ametoa mwito kwa wananchi ambao hawajahesabiwa watumie siku zilizobaki kwa faida yao…

Soma Zaidi »

Waziri Bashungwa ateta na wauza mitumba, mama ntilie

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa leo ametembelea wafanyabiashara wadogo na…

Soma Zaidi »

Dk Yonazi ashiriki kikao cha Tume ya Pamoja (JPC) Tanzania, Msumbiji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk. Jim Yonazi ameshiriki kikao cha 15 cha Tume…

Soma Zaidi »

Karani wa sensa Bunda ajifungua, Rorya mambo mazuri

WAKATI Sensa ya Watu na Makazi ikiendelea vizuri katika Wilaya za Bunda na Rorya mkoani Mara, mmoja wa makarani wa…

Soma Zaidi »

SENSA2022: Zaidi ya Watu milioni 10 wamehesabiwa

MRATIBU wa Sensa Kitaifa, Seif Kuchengo amesema zoezi la sensa linaendelea vizuri kitaifa ambapo hadi jana zaidi ya wananchi milioni…

Soma Zaidi »

Kahama waonywa mawakili vishoka

WANANCHI wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga wameonywa kuwa makini na mawakili, kwani baadhi yao hawana sifa na wanaishia kuchukua fedha…

Soma Zaidi »

‘Tuitumie serikali iliyopo mabadiliko sheria ya habari’

MWENYEKITI wa Taasisi ya Vyombo ya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN), Wakili James Marenga amesema kuwa…

Soma Zaidi »

Wenye mabasi wapongeza ushirikiano sensa

CHAMA Cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimepongeza muitikio wananchi hususani wanachama na watumishi wake kushiriki sensa kuanzia juzi. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Jamii ishirikishwe vita dawa za kulevya

JESHI la Polisi nchini limeshauriwa kuishirikisha jamii katika  mapambano ya kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya, biashara za magendo na…

Soma Zaidi »
Back to top button