WANANCHI wa vitongoji vinne katika kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini wilayani Arumeru mkoani Arusha wameamua kujitolea kutengeneza barabara baada…
Soma Zaidi »Maisha ya Vijijini
MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu, ameeleza kutoridhishwa na usimamizi wa mradi wa mazingira unaotekelezwa wilayani humo…
Soma Zaidi »WAKAZI wa vijiji vya Butini na Kidanda, Kata ya Itwangi, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wamelalamikia kukosa huduma ya maji…
Soma Zaidi »MHALIFU wa makosa ya ubakaji na mauaji raia wa Afrika Kusini aliyetoroka gerezani na kukamatwa jijini Arusha wiki iliyopita, amesafirishwa…
Soma Zaidi »TAKRIBANI heka 1,600 za mashamba ya mpunga Kata ya Kagu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani hapa, zipo hatarini kushambuliwa…
Soma Zaidi »UPATIKANAJI wa maji katika vijiji mkoani Singida umeongezeka kutoka asilimia 57 Mwaka 2020 hadi asilimia 64 Februari 2023. Hayo yalielezwa…
Soma Zaidi »MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amekitaka Chama cha Walimu (CWT) kuheshimu utawala wa sheria uliopo kwa kutochagua wagombea…
Soma Zaidi »Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi Jamila Yusuf ameagiza kuendelea kushikiliwa na Jeshi la polisi mmiliki wa kituo cha…
Soma Zaidi »SERIKALI imetoa pikipiki 216 kwa maofisa ugani wa Mkoa wa Iringa, hatua itakayosaidia kumaliza kilio cha wakulima kutofikiwa kwa wakati…
Soma Zaidi »SERIKALI imekamilisha ujenzi wa majosho saba kwa ajili ya kuoshea mifugo, miradi kwa ajili ya malisho ya mifugo ambapo maandalizi…
Soma Zaidi »