Tanzania

Dira 2050 yaitaka Tanzania imara EAC, SADC, AU

RASIMU ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imeeleza kuwa ni muhimu Tanzania iimarishe uongozi wake ndani ya Jumuiya ya…

Soma Zaidi »

Tunapongeza Mahakama kuiheshimisha nchi

TANZANIA imezidi kung’ara katika sekta mbalimbali Afrika, ikiwemo ya mahakama. Imeelezwa kwamba utendaji wa mahakama nchini umepiga hatua kubwa katika…

Soma Zaidi »

Tanzania yatabiriwa makubwa Azimio la Dar

TANZANIA inatarajiwa kufanya makubwa kwenye sekta ya ajira na uwekezaji kutokana na Azimio la Dar es Salaam katika mkutano wa…

Soma Zaidi »

RC Sendiga amuapisha DC Mbulu

MANYARA: MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amemuapisha Michael Semindu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu baada ya kuteuliwa…

Soma Zaidi »

Rais Samia ampongeza Askofu Mteule Mihali

RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Padre Romanus Elamu Mihali kwa kuteuliwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Iringa Januari…

Soma Zaidi »

Bil 21/- kutumika elimu ya Sekondari njia mbadala

SERIKALI imeiwezeshaTaasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) Sh bilioni 21.8 kwa kipindi cha miaka minne ili kutekeleza kazi mbalimbali…

Soma Zaidi »

Arusha yazindua mitambo kutengeneza barabara korofi

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha imezindua mitambo mipya ya kutengeneza barabara korofi za jiji hilo ikiwemo malori mawili yaliyonunuliwa kwa…

Soma Zaidi »

DC Mtwara ataka mikakati matokeo sekondari

MKUU wa Wilaya ya Mtwara ya Mtwara Abdallah Mwaipaya amewataka walimu kutoka shule mbalimbali za sekondari katika Manispaa ya Mtwara…

Soma Zaidi »

Ugoni watajwa kugeuka dili Bukombe

BAADHI ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamedaiwa kutumia tuhuma ama makosa ya ‘ugoni’ kama chanzo…

Soma Zaidi »

Ushahidi pasua kichwa kesi za ukatili Bukombe

OFISI ya Dawati la Jinsia katika Kituo cha Polisi Bukombe imeeleza kuwa bado kuna changamoto kubwa ya ndugu, jamaa na…

Soma Zaidi »
Back to top button