Tanzania

NEEC yapendekeza elimu ya sheria ya kodi kwa wafanyabiashara wadogo

DAR-ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amependekeza kuwa wafanyabiashara wadogo wapewe…

Soma Zaidi »

Serikali kugawa vyandarau bila malipo Shinyanga

SERIKALI inatarajia kugawa vyandarua zaidi ya milioni 1.5 bila malipo kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyanga lengo kutokomeza maambukizi ya…

Soma Zaidi »

Mil 640/- kuwezesha vikundi Mikindani

MANISPAA ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara imetoa zaidi ya Sh milioni 640 kwa ajili ya kuviwezesha vikundi mbalimbali vya wajasiliamali…

Soma Zaidi »

Wenyeviti Tandahimba watakiwa kuzingatia misingi ya uongozi

WENYEVITI wa Vijiji na Vitongoji wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi bora ya uongozi ili…

Soma Zaidi »

Miaka 10 tangu Jaji Werema ashiriki utatuzi kesi Ziwa Nyasa

MAPUTO, Msumbiji: KATIKA historia ya nchi yetu, mnamo Agosti 29, 2024 ilitimia muongo mmoja, tangu Timu ya Serikali ya Tanzania…

Soma Zaidi »

Vijiji 17 havina umeme Tanzania

DAR ES SALAAM: JUMLA ya vijiji 12,301 kati ya vijiji 12,318 sawa na asilimia 99.86 pamoja vitongoji 32,827 kati ya…

Soma Zaidi »

Ulega: Wazawa wapewe kipaumbele ujenzi barabara

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Mwanasheria Mkuu wa Serikali amlilia Jaji Werema

BUTIAMA, Mara: MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mstaafu Frederick Werema,…

Soma Zaidi »

Kituo cha afya cha mil 632/- chazinduliwa Babati

MANYARA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amezindua na kufungua rasmi Kituo cha Afya…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa Kisiwani…

Soma Zaidi »
Back to top button