Tanzania

Uchaguzi S/Mitaa: Watanzania wanaamua

Zoezi hilo lililoanza mapema saa mbili asubuhi kwa saa za afrika mashariki litaendelea hadi saa 12 jioni.

Soma Zaidi »

Kapinga: Kesho mjitokeze kupiga kura

Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaasa wananchi kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »

CCM Iringa yajizatiti ushindi maeneo yasiyo na upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimehitimisha kampeni zake kwa kishindo katika mtaa wa Wambi, Mafinga mjini, kikiwataka wanachama…

Soma Zaidi »

Serikali, madhehebu ya dini kushirikiana maendeleo

SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na madhehebu ya dini katika kuwaletea wananchi maendeleo. Akizungumza leo wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wakati wa…

Soma Zaidi »

Ukitupa taka hovyo faini mil 1/-

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paulo Mkonda,amesema kuanzia Desemba Mosi mwaka huu, mwanachi yoyote atakayetupa taka hovyo atatozwa faini ya…

Soma Zaidi »

Takukuru yachunguza miradi kubaini ubadhirifu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Morogoro imeazisha na uchunguzi wa awali  kwenye miradi kadhaa ukiwemo ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Tanzania mwenyeji mkutano wa mamlaka usimamizi wa usafiri

TANZANIA kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji kwenye wa Makutano wa saba (7) wa…

Soma Zaidi »

Kampuni Kenya yakamilisha umiliki wa ISP Habari ya Arusha

NAIROBI: Kampuni ya utoaji huduma ya mtandao ya Kenya, Mawingu imeitwaa kampuni ya IPS Habari yenye makao makuu jijini Arusha…

Soma Zaidi »

Wataalam Agota, ISGE kukutana Zanzibar

ZANZIBAR; WATAALAMU kutoka Shirika la Kimataifa la Upasuaji wa Wanawake (ISGE) na Chama cha Wanagyna na Wakunga Tanzania (AGOTA) wanatarajia…

Soma Zaidi »

Wananchi Mtwara wahimizwa uchaguzi mitaa

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala ameendelea kutoa wito kwa wananchi mkoani humo kuwa wale wote waliyojiandikisha na…

Soma Zaidi »
Back to top button