Tanzania

Mbunge ashauri kuongezwa kampuni ya mwendokasi

SERIKALI imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kuongeza kampuni nyingine ya mabasi yaendayo haraka ili kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo…

Soma Zaidi »

Wadau haki jinai waeleza faida ziara bandarini

WADAU wa haki jinai Mkoa Kigoma wamefanya ziara kutembelea shughuli za mamlaka ya bandari katika Bandari ya Kigoma na Kibirizi…

Soma Zaidi »

Qatar charity fungueni matawi Tanzania

QATAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo ametembelea kituo kikubwa cha…

Soma Zaidi »

Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo Oktoba 29 kuelekea Des Moines, lowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa…

Soma Zaidi »

TNGP yawataka wanawake kushiriki uchaguzi mitaa

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umetoka wito kwa waandishi wa habari kuandika habari za kuhamasisha wanawake kushiriki na kijitokeza kugombea…

Soma Zaidi »

Qatar kuiuzia Tanzania mbolea ya urea

QATAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi leo amekutana na kufanya mazungumzo…

Soma Zaidi »

Jen,David Musuguri afariki dunia

MWANZA : MKUU wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Musuguri, amefariki Dunia leo jijini Mwanza alipokuwa akipatiwa matibabu. Jenerali Musuguri alizaliwa…

Soma Zaidi »

Dk Biteko aisifu REA utekelezaji miradi

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufanya vizuri…

Soma Zaidi »

Mwandishi TSN ashinda tuzo TMA

MWANDISHI wa habari mwandamizi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Zaituni Mkwama, ameshinda tuzo ya Mamlaka ya Hali ya…

Soma Zaidi »

Tanzania, Urusi kushirikiana utalii

SERIKALI imesema Wizara ya Maliasili na Utalii imekubaliana kushirikiana na Urusi kukuza na kuendeleza Sekta ya Utalii. Waziri wa Maliasili…

Soma Zaidi »
Back to top button