Tanzania

Wazazi watakiwa kuwatia moyo wanafunzi

Shule ya Sekondari Huria ya Ukonga Skillful imehimiza wazazi kutowakatisha tamaa watoto wao kuwa hawawezi pale wanapofanya vibaya katika masomo…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara kutozwa kodi ndogo

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ameaziagiza taasisi zinazosimamia masoko mapya  kuweka viwango  vidogo vya …

Soma Zaidi »

Serikali kuendelea kuimarisha uhuru wa kuabudu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itaendelea kuimarisha uhuru wa kuabudu…

Soma Zaidi »

Ukarabati Songo Songo kupaisha uzalishaji gesi asilia

LINDI: Ukarabati wa kisima cha gesi asilia unaoendelea katika Kitalu cha Songo Songo mkoani Lindi unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa gesi asilia…

Soma Zaidi »

Bashungwa apiga simu, MV Kilindoni irejee haraka

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Balozi Aisha Amour na…

Soma Zaidi »

Dk afanya ziara kujionea ujenzi TTB, TAWIRI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana leo Oktoba 26,2024 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi…

Soma Zaidi »

Bandari yajipanga kusafirisha shehena ya korosho

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema Bandari ya Mtwara imejipanga kusafirisha korosho ghafi ambazo zinatarajiwa kusafirishwa kwenda nje ya…

Soma Zaidi »

“Mkutano mfugaji nyuki uwe fursa”

KAMISHNA Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Profesa Dos Santos amewataka wadau wa ufugaji nyuki nchini kutumia fursa…

Soma Zaidi »

Al-Maktoum yafanya bunifu 300 kutatua changamoto

ZAIDI ya wanafunzi 300 wa Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha AL-MAKTOUM wamefanya ubunifu wa mifumo mbalimbali ili kutatua changamoto…

Soma Zaidi »

DC Iramba: Tutapeleka maji vijiji vilivyosalia

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani, Singida Suleiman Mwenda amewahakikishia wananchi wa Tarafa ya Shelui hususani wakazi wa vijiji vya…

Soma Zaidi »
Back to top button