Tanzania

Akutwa ameuawa porini

MTU mmoja aliyehamika kwa jina la Costa Clemence, 22, mkazi wa kijiji cha Maseyu kata ya Gwata Wilaya ya Morogoro…

Soma Zaidi »

Watakiwa kujiunga vikundi fursa za mikopo

NAIBU Waziri  wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Zainabu Katimba amesema ni muhimu kwa vikundi vya vijana na…

Soma Zaidi »

Vijiji 12,333 kushiriki uchaguzi mitaa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya…

Soma Zaidi »

“Zingatieni mifumo kutangaza zabuni”

KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Godfrey Mnzava amezitaka halmashauri na taasisi zote za serikali kuzingatia matumizi ya mifumo…

Soma Zaidi »

Kahama kinara utoroshaji madini

WILAYA ya Kahama iliyopo mkoani Shinyanga imetajwa kuwa kinara wa utoroshwaji madini nje ya nchi hivyo kuikosesha mapato serikali. Waziri…

Soma Zaidi »

Michezo ya majeshi sasa kimataifa

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ipo katika mazungumzo na viongozi wa majeshi kuona namna wanamichezo wao wanakuwa na nafasi…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti CCM Wilaya ya Bariadi afariki dunia

MWENYEKITI wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00…

Soma Zaidi »

NEC yawapiga msasa watendaji daftari la wapiga kura

TUME ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imewajengea uwezo watendaji katika halmashauri tano za Simanjiro, Kiteto na Mbulu Mji sambamba na…

Soma Zaidi »

Mpogolo ahimiza uangalizi malezi ya watoto

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wazazi kuzingatia na kuangalia mienendo ya watoto wanapokuwa majumbani…

Soma Zaidi »

SMZ kushirikiana na wataalam wa kimataifa

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi  amesema Serikali itaendelea  kuunga mkono juhudi…

Soma Zaidi »
Back to top button