Tanzania

LATRA yatangaza bei Daraja la Kawaida SGR

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa…

Soma Zaidi »

Majaliwa kubariki Mkutano Mkuu TOA

ARUSHA; Waziri Mkuu kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua Mkutano Mkuu wa 14 wa Taasisi ya Maboresho ya Serikali za Mitaa Tanzania…

Soma Zaidi »

Ajali ya Fuso yaua ‘wakandarasi’ 5

KIGOMA; WATUMISHI watano wa kampuni ya Tropical State Grid Co.Ltd, inayotekeleza Mradi wa Umeme Vijijini (REA), wilayani Uvinza mkoani Kigoma,…

Soma Zaidi »

Biteko: Mgawo ulinikosesha amani

GEITA;NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko alisema miezi michache iliyopita, tatizo la mgawo wa umeme lilikuwa…

Soma Zaidi »

Rais Samia akerwa migogoro ya familia

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kujenga jamii na taifa kiroho ikiwa ni njia ya kukabili kuporomoka kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania, Indonesia kushirikiana sekta ya Utalii

DODOMA: Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zinajipanga kushirikiana katika masuala ya utangazaji utalii, kubadilishana uzoefu katika masuala ya…

Soma Zaidi »

RC Tanga atangaza fursa za Utalii

TANGA; Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dk Batilda Burian amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Dk Samia…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Wavuvi ruksa kuuza samaki popote

GEITA; WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa, amesema wavuvi wa samaki na dagaa wanaruhusiwa kuuza kwenye mwalo ama soko lolote nchini na…

Soma Zaidi »

Wabunge Marekani waimwagia sifa Tanzania

KILIMANJARO: WAWAKILISHI 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania…

Soma Zaidi »

Katimba acharuka wakandarasi wanaochelewesha miradi

KIGOMA: NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Zainabu Katimba ametaka wakandarasi wanaochelewesha miradi mbalimbali inayotekelezwa mkoani Kigoma bila…

Soma Zaidi »
Back to top button