Tanzania

Nape amtaka Katibu Mkuu kuongeza nguvu ujenzi TSN

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amemuelekeza Katibu Mkuu katika Wizara hiyo, Mohammed…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha marekebisho Sheria ya Habari

DAR ES SALAAM: Serikali imesema imekamilisha mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 na Kanuni…

Soma Zaidi »

Barabara Karagwe-Burigi Chato kukamilika Novemba

BARABARA ya kimkakati ya Karagwe kupitia Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato kilometa 60 inayotegemewa kwa usafirishaji wa mizigo katika…

Soma Zaidi »

Barabara kukarabatiwa Kagera

SERIKALI imetoa Sh milioni 982 kwa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) ili kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua…

Soma Zaidi »

Bashungwa amsimamisha kazi Meneja Tanroads Lindi

LINDI: WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Mhandisi Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia…

Soma Zaidi »

Mgaya mkuu mpya NIT

ZANZIBAR: RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dk Prosper Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kabla…

Soma Zaidi »

Kihenzile awaita wawekezaji usafiri wa reli

MWANZA: WAWEKEZAJI wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika usafiri wa reli hapa nchini. Wito huo umetolewa leo mkoani Mwanza na…

Soma Zaidi »

Bashungwa atoa maelekezo matengenezo barabara

MTWARA; Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini…

Soma Zaidi »

Watendaji Mtwara watakiwa kuwajali wengine

WATENDAJI kutoka halmashauri mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuwajali watendaji walio chini na juu yao ili kukamilisha malengo yanayokusidiwa kwenye mkoa…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

MAZUNGUMZO  SIJALI  AZUNGUMZA NA MTOTO WAKE ,MASHAKA Sijali: Je,mtihani Ilikuwa ngumu? Mashaka:Ndiyo,mtihani ulikuwa mgumu sana. Sijali:Je, unafikiri  utafaulu? Mashaka;Sijui,lakini nilifanya…

Soma Zaidi »
Back to top button