Tanzania

CCM Tanga wamchangia hela ya fomu Rais Samia

TANGA: Chama Cha Mapinduzi mkoani Tanga kimechanga Sh milioni 1.7 Rais Samia Suluhu kwa ajili ya gharama ya fomu ya…

Soma Zaidi »

DC amsimamisha kazi afisa elimu

TANGA: Mkuu wa Wilaya ya Tanga, James Kaji amemuagiza Mkurugenzi wa  jiji la Tanga, Said Majaliwa kumsimamisha kazi afisa elimu…

Soma Zaidi »

Tulia ataka Waafrika wajiamini, wajisemee

KAMPALA, Uganda: RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amesisitiza umuhimu…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Kiwanda cha mwani mageuzi makubwa kiuchumi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ujenzi wa kiwanda cha kusarifu na kuongeza thamani ya mwani ni sehemu…

Soma Zaidi »

Ngorongoro wanaokwenda nje ya Msomera waongezewa dau

DAR ES SALAAM: KUNDI la pili la wananchi wanaohamia Msomera Wilaya ya Handeni, Tanga kutoka kwenye Hifadhi ya Ngorongoro lilitarajiwa…

Soma Zaidi »

Bunge kupokea maoni miswada ya uchaguzi

DODOMA: LEO Bunge litaanza kupokea na kusikiliza maoni ya wadau kuhusiana na Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Muungeni mkono Samia kwa kupinga ukatili

RUVUMA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita na Rais…

Soma Zaidi »

Washauri vitendo vya rushwa ya ngono vidhibitiwe

WADAU wa demokrasia nchini wamesisitiza suala la rushwa ya ngono kuingizwa katika sheria ya vyama vya siasa ili kuweka mkazo…

Soma Zaidi »

Muswada sheria ya uchaguzi wagusa wadau

WADAU wa demokrasia nchini wamebainisha kuwa Muswada wa Sheria ya Uchaguzi umekuja kuziba upungufu, na sheria ikitumika vizuri ni sehemu…

Soma Zaidi »

Vifo vya watoto vyapungua kwa asilimia 35

TATHMINI ya Serikali inaonesha kuwa vifo vya watoto vimepungua kwa 35%, kutoka vifo 67 kwa watoto 1000 mpaka kufikia vifo…

Soma Zaidi »
Back to top button