Tanzania

Serikali kuendelea kudumisha demokrasia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itaendelea kudumisha demokrasia nchini kwa…

Soma Zaidi »

Kasekenya: TBA zingatieni ubora wa majengo

WAKALA wa Majengo nchini (TBA) wametakiwa kuzingatia ubora na ufanisi wa majengo. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Ujenzi…

Soma Zaidi »

TASAC yapongeza ukarabati bandari ya Bukoba

BODI ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),  imefanya ziara katika Bandari ya Bukoba na kuipongeza serikali kwa  hatua…

Soma Zaidi »

Mchengerwa azipa neno TTB, Tanapa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezitaka Bodi za Utalii (TTB) na Bodi ya Udhamini ya Shirika la Hifadhi…

Soma Zaidi »

Watumishi Tanapa kupewa mafunzo ya kijeshi

MWENYEKITI Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Generali Mstaafu, George Waitara amesema muda umefika kwa shirika hilo…

Soma Zaidi »

Watumishi 7 halmashauri kizimbani uhujumu uchumi

KATAVI; Mpanda. TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Katavi,…

Soma Zaidi »

Jifunze kiswahili

TO BE IN A PLACE: KUWAKO This verb is also irregular in the present tense. In other tenses it is…

Soma Zaidi »

Tovuti yaongeza wawekezaji michikichi Uvinza

KUTOKANA na kuongezeka kwa mahitaji ya mafuta ya kula, serikali kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliwataka wawekezaji, wakulima na Watanzania…

Soma Zaidi »

TRA yafafanua malengo ukusanyaji mapato

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imesema imejipanga kwa lengo la kukusanya mapato ya kodi ya jumla ya Sh trilioni 26.7…

Soma Zaidi »

Nelly Msuya Kaimu Mkurugenzi MWAUWASA

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amemteua Nelly Msuya kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira…

Soma Zaidi »
Back to top button