Tanzania

Dk Mwinyi ajivunia manufaa ushirikiano na India

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inajivunia ushirikiano uliopo baina yake na India.…

Soma Zaidi »

Mpango aitaka NEMC kusimamia katazo la mifuko ya plastiki

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na mamlaka za…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maagizo kulinda uchumi, uwekezaji

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ni nguzo ya uwekezaji, mazingira ya biashara, ukuaji sekta…

Soma Zaidi »

Shule Rufiji yakabiliwa na changamoto ya vitabu

SHULE ya Sekondari ya Wasichana ya Samia, iliyopo Kata ya Mgomba iliyopo Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto…

Soma Zaidi »

RC Geita apiga marufuku michango bila kibali

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amepiga marufuku watendaji wa vijiji na kata kuendesha michango ya miradi kwa wananchi…

Soma Zaidi »

RPC Geita aonya unyanyasaji dhidi ya wanaume

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo amewaonya wanawake wanaonyanyasa waume zao kuacha tabia…

Soma Zaidi »

Kijue Kiswahili-Sehemu ya 5

We proceed with our topic Question words in Swahili Question; Utaimbaje? Second person singular (u):tense Maker future tense (ta); verb…

Soma Zaidi »

Shahidi aeleza watuhumiwa dawa za kulevya walivyokamatwa

MKAGUZI Msaidizi wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Inspekta John ameeleza namna walivyowakamata washitakiwa watano wanaokabiliwa…

Soma Zaidi »

Mradi Bwawa la Kidunda kugharimu bil 335/-

SERIKALI imeanza kutekeleza mradi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro litakalogharimu Sh bilioni 335 ambalo litakuwa na uwezo wa kuhifadhi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amewashukuru viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button