Tanzania

DC Bukoba alipa tano shirika mafunzo kwa wanawake

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Erasto Siima amelishukuru Shirika lisilo la kiserikali la Omuk Hub kwa kutoa ujuzi wa kidigitali…

Soma Zaidi »

Mbarawa aomba Sh trilioni 3.6 kuifungua nchi

WAZIRI wa Miundombinu na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa amewasilisha mpango wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha…

Soma Zaidi »

Tanzania kupaa kimataifa uandaaji takwimu

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), inakusudia kuifikisha Tanzania kimataifa kwa kuongoza uandaaji wa takwimu bora. Hatua hiyo inatokana na…

Soma Zaidi »

Kiswahili ‘dili’ nje ya nchi

Jumla ya balozi 13 zimenzisha madarasa, vituo na klabu za za Kiswahili nje ya nchi, Bunge limefamishwa leo Jumatatu, Mei…

Soma Zaidi »

Barabara, ulinzi, ardhi kutawala mijadala bungeni

BUNGE la Bajeti linatarajiwa kuendelea leo na wizara tatu zinatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha…

Soma Zaidi »

OUT kujenga kituo cha kisasa Kibaha

KITUO cha kisasa cha utafiti, uvumbuzi, ubunifu na ukarimu kinatarajiwa kujengwa eneo la Bungo Kibaha, mkoani Pwani. Ujenzi wa kituo…

Soma Zaidi »

Wanafunzi IJA wakomaa mafunzo ya sheria

CHUO cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kimekuwa kikizalisha wanafunzi mahiri wa sheria, ambao wamekuwa na tija kubwa hapa nchini.…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali uzinduzi Ikulu mpya Chamwino

RAIS Samia Suluhu Hassan Kipanda mti wa kumbukumbu kwenye hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma…

Soma Zaidi »

DC Mvomero akemea tabia ya kuwadhuru Tembo

MKUU wa Wilaya ya Mvomero , mkoani Morogoro, Judith Nguli amekemea tabia ya wananchi wa wilaya hiyo kuwajeruhi wanyamapori hasa…

Soma Zaidi »

Dar, Pwani Umeme kukosa umeme

WANANCHI wa baadhi ya maeneo katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani watakosa huduma ya umeme kwa siku mbili…

Soma Zaidi »
Back to top button