Tanzania

Takukuru yagusa miradi 5 Wilaya Tanganyika

TAKUKURU Mkoa wa Katavi imebaini mapungufu mbalimbali ikiwemo usimamizi mbovu kwenye ujenzi, ukiukwaji wa mikataba na ucheleweshwaji katika kukamilisha miradi…

Soma Zaidi »

Tari yaja na mbegu za kisasa kufufua zao la ulezi

KWA zaidi ya miaka 10 sasa mkulima kutoka Kata ya Mtiinko mkoani Singida, Juma Mene amekuwa akilima ulezi katika eneo…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka sekta binafsi uendeshaji wa Bandari Dar

WABUNGE wametaka Bandari ya Dar es Salaam iboreshwe zaidi ikiwa ni pamoja na kuruhusu sekta binafsi kuingia mkataba ili kuendesha…

Soma Zaidi »

Serikali kujizatiti sekta ya anga

SERIKALI imesema itaendelea kuimarisha Sekta ya Anga ikiwemo kujenga viwanja vya ndege na kuboresha vilivyopo ili kuweza kuruhusu ndege kutua…

Soma Zaidi »

Serikali yazindua mfumo kidijiti kusajili Diaspora

SERIKALI imezindua mfumo kusajili kidijiti Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora). Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Soma Zaidi »

Hatua za ujenzi wa boti za uokoaji zakamilika

HATUA za kujenga boti moja ya matibabu na mbili za utafutaji na uokoaji zitakazotumika katika Ziwa Victoria zimekamilika baada ya…

Soma Zaidi »

Wamiminika kutoa maoni mitaala ya elimu nchini

WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa tayari watu zaidi ya 200,000 wameshatoa maoni  kuhusu mtaala mpya wa elimu huku…

Soma Zaidi »

Mbunge alalama, wananchi wanataka aruke sarakasi bungeni

Mbunge wa Kibiti, Twaha Mpembenwe amesema wananchi wa jimbo lake wanamtaka aruke sarakasi bungeni, Dodoma ili barabara ya Bungu-Nyamisati itengenezwe…

Soma Zaidi »

Injini za ndege, umiliki ATCL bungeni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuendelea kufuatilia kwa karibu ili matengenezo ya injini mbili za ndege…

Soma Zaidi »

NACTE yatoa ufafanuzi wanaopotelewa vyeti

BARAZA la Mitihani Tanzania (NACTE) limewataka watanzania wanaopotelewa na vyeti vya shule kutumia tovuti yao www.necta.go.tz na ndani ya mwezi…

Soma Zaidi »
Back to top button