Tanzania

Sekta ya maji yaimarika miaka 2 ya Samia

WIZARA ya Maji imelieleza Bunge kuwa katika miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita kumekuwa na mafanikio katika sekta…

Soma Zaidi »

Samia: Diaspora wametuma tril 2.5/- nyumbani

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Watanzania wanaoishi nje ya nchi (diaspora) wamekuwa na mchango mkubwa kwa nchi kupitia fedha wanazotuma…

Soma Zaidi »

Aweso aja na vipaumbele 5 huduma ya maji

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ametaja vipaumbele vitano vya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ikiwamo kuendelea na utunzaji…

Soma Zaidi »

Polisi wamuaga Sirro, azungumzia mauaji Kibiti

JESHI la Polisi Tanzania, limemuaga rasmi na kwa heshima zote Mkuu wa zamani wa Jeshi hilo (IGP) Simon Sirro, baada…

Soma Zaidi »

Umeme wapelekwa mgodini Biharamulo

WIZARA ya Nishati imekamilisha mradi wa kupeleka umeme kwenye mgodi wa kuchimba dhahabu Stamigold Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, ambapo…

Soma Zaidi »

Mitaala mipya, Sera ya Elimu hadharani

SERIKALI imekamilisha rasimu ya mapitio ya mitaala mipya ya elimu ya msingi, sekondari na vyuo vya ualimu, ambayo inaonesha kuwa…

Soma Zaidi »

Mitaala mipya, Sera ya Elimu hadharani

SERIKALI imekamilisha rasimu ya mapitio ya mitaala mipya ya elimu ya msingi, sekondari na vyuo vya ualimu, ambayo inaonesha kuwa…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka uwekezaji kilimo cha umwagiliaji

WABUNGE wameishauri serikali iongeze uwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kuleta mageuzi ya sekta hiyo. Pia, wameihimiza serikali iitazame upya…

Soma Zaidi »

ACT-Wazalendo yashauri serikali inunue chakula

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeishauri serikali inunue na kuhifadhi chakula cha kutosha angalau miezi mitatu kutoka kwenye chakula kitachovunwa mwaka huu…

Soma Zaidi »

Kampuni, waandishi China waja kutalii

BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema ujumbe wa watu 40 unaojumuisha wawakilishi wa kampuni za utalii za China…

Soma Zaidi »
Back to top button