Tanzania

Wilaya 50 kupata ofisi za mashitaka

SERIKALI imetoa kibali kwa kufungua ofisi mpya katika wilaya 50 za Tanzania Bara ili kusongeza huduma kwa ukaribu na uharaka zaidi…

Soma Zaidi »

Gambo asifu usaidizi wa nabii kwa jamii

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema utajiri wa Nabii Mchungaji Geor Davie unasaidia Jamii wakiwemo Vijana, Wanawake…

Soma Zaidi »

Usimamizi mradi wa mazingira wamchefua DC Tanganyika

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu, ameeleza kutoridhishwa na usimamizi wa mradi wa mazingira unaotekelezwa wilayani humo…

Soma Zaidi »

ASA kuongeza uzalishaji mbege

WAKALA wa Mbegu za Kilimo (ASA), inatarajia kuzalisha tani 4,000 za mbegu kwa msimu huu wa kilimo ikiwa ni moja…

Soma Zaidi »

Serikali: Watanzania wako salama Sudan

SERIKALI imesema Watanzania takribani 210 waliopo Sudan wakiwamo wanafunzi 171 wapo salama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

Jamii yashauriwa namna ya kupunguza magonjwa sugu

KATIKA kuunga mkono jitihada za Wizara ya Afya za kupunguza magonjwa sugu, jamii imeshauri kutumia virutubisho mbalimbali ili kuondokana na…

Soma Zaidi »

Wahamasishwa kulima ulezi kwa wingi

WAKULIMA nchini wamehamasishwa kulima ulezi kwa wingi, ili kuokoa fedha zinazopelekwa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia nafaka hiyo,…

Soma Zaidi »

Sekta binafsi zatajwa mshahara mapema Z’bar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewaomba sekta binafsi Zanzibar kuwalipa mishahara watumishi…

Soma Zaidi »

Watakiwa kushirikisha jamii zote bila ubaguzi

WAUMINI wa dini ya kiislaam mkoani Katavi, wametakiwa kushirikisha jamii zote bila kubagua dini wala kabila pale wanapokua na jambo…

Soma Zaidi »

UVCCM Songwe yatia neno mikopo ya vijana

MWENYEKITI wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Songwe,Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button