Tanzania

Wasisitizwa kulea watoto misingi ya dini

Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa, amewataka wazazi na walezi kuendelea kuwalea watoto katika misingi ya dini, Ili kutengeneza…

Soma Zaidi »

Wahimizwa matumizi ya vyandarua

WAKAZI wa Kijiji cha Nakapanya, Halmashauri ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekumbushwa umuhimu wa kutumia vyandarua vyenye viuatilifu na kudumisha…

Soma Zaidi »

Samia mgeni rasmi Baraza la Iddi El-Fitri

BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Iddi.…

Soma Zaidi »

Kanisa Katoliki lapongeza ujenzi bomba la mafuta

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limeridhishwa na mchakato wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika…

Soma Zaidi »

Wazazi kukamatwa kisa watoto kutembea usiku Mkuranga

MKUU wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nasri ametoa onyo kwa kuwakamata wazazi wanaowaruhusu watoto wao kutembea usiku bila ya kuwa…

Soma Zaidi »

TET yakabidhi vifaa vya Tehama

TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) leo April 18, 2023 imekabidhi vifaa vya kielektroniki kutoka nchini Korea kupitia mradi wa KLIC…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi afanya uteuzi Wizara ya Maendeleo ya Jamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amemteua Salum Khamis Rashid kuwa Mkurugenzi wa Idara…

Soma Zaidi »

‘Tumieni mbegu za karanga, alizeti zilizofanyiwa utafiti’

MKURUGENZI Mtendaji wa Wafanyabiashara wa Mbegu Tanzania (TASTA),  Dk Bob Shuma amewataka wakulima kutumia mbegu bora za karanga na alizeti…

Soma Zaidi »

Samia atengua uteuzi Mkurugenzi wa Jiji Mwanza

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Sekiete Yahaya Selemani kuanzia…

Soma Zaidi »

‘Marufuku kubadili matumizi ya ardhi’

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula amewataka wananchi wanaokabidhiwa hatimiliki za ardhi kuhakikisha wanazingatia masharti…

Soma Zaidi »
Back to top button