Tanzania

Haniu atembelea vyombo vya habari Rungwe

MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo  wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa na…

Soma Zaidi »

Mkurugenzi kampuni ya kuzoa taka kortini

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzoa taka na usafi wa mazingira ya Together We Can Do Women Group ya jijini…

Soma Zaidi »

Sababu zatajwa uhaba wa nazi

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis amesema kasi ya ujenzi wa nyumba za makazi na ongezeko…

Soma Zaidi »

‘Tupambane kukabili ongezeko la joto’

MATUKIO ya hali mbaya ya hewa yanatajwa kuongezeka duniani kutokana na wastani wa ongezeko la joto kufikia nyuzi joto 1.15…

Soma Zaidi »

Bil 65/- zatibu wategemezi watumishi wa umma

SERIKALI imetumia zaidi ya Sh bilioni 65 kulipia matibabu kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) baada ya…

Soma Zaidi »

Basi la Mwendokasi laparamia maduka Dar

Basi la mwendokasi lililokuwa linatokea Kivukoni laparamia duka eneo la Kisutu, Ilala, Dar es Salaam asubuhi hii, watu kadhaa wajeruhiwa.…

Soma Zaidi »

Mkulima adakwa na mabomu, risasi 30 za AK47

POLISI mkoani Kigoma wamemtia mbaroni mkulima akiwa na mabomu mawili ya kurusha kwa mkono na risasi 30 za bunduki za…

Soma Zaidi »

Vyombo vya ulinzi vyatakiwa kuibua vipaji shuleni

VYOMBO vya ulinzi na usalama vimetakiwa kuweka mpango mahususi wa kupata vijana wenye vipaji wakiwa shule za sekondari na Jeshi…

Soma Zaidi »

Serikali kushirikiana na wananchi uimarishaji elimu

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuungana na wananchi katika kuimarisha miundomibu ya elimu ili kuhakikisha watoto wanapata elimu…

Soma Zaidi »

Waziri Ummy: Tumieni gesi

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa matumizi ya nishati ya kuni na mkaa yamekuwa yakisababisha   saratani ya mfumo wa…

Soma Zaidi »
Back to top button