Tanzania

Serikali yatenga milioni 757 ujenzi gereza Kilosa

SERIKALI imetenga Sh milioni 757 kumalizia ujenzi wa gereza jipya linalojengwa wilayani Kilosa ,mkoani Morogoro baada ya gereza la zamani…

Soma Zaidi »

Mashahidi saba kesi ya Hussein Hariri

UPANDE wa mashitaka katika kesi  ya kusafirisha kilogramu 1001.17 za dawa za kulevya aina ya Heroin inayomkabili mkazi wa Mikocheni…

Soma Zaidi »

OCD, Mkuu wa Upelelezi Kilombero waondolewa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amewasimamisha kazi Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kilombero (OCD)…

Soma Zaidi »

Wakutana Kagera kujadili fursa za maendeleo

BALOZI wa Tanzania nchini Rwanda,  Richard Mutayoba na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Charles Kalamba  wamekutana kujadili wananchi wao wanavyoweza…

Soma Zaidi »

Mwenge kunogesha miradi 5 Mtwara

MIRADI ya maendeleo mitano yenye thamani ya shilingi bilioni 1.62 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, mkoani Mtwara itapitiwa na…

Soma Zaidi »

Mafuru aahidi raha AICC

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha…

Soma Zaidi »

Maofisa TRA mbaroni leseni feki za udereva

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa linawashikilia wafanyakazi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Iringa, Upendo Msigwa (32) mkazi…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji Kemondo wafikia asilimia 87

MRADI wa maji wa Kemondo-Maruku unaotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), umefikia asilimia 87 kwa…

Soma Zaidi »

Wapongeza mradi wa maji Mushabaiguru

WAKAZI wa Kijiji Mushabaiguru, Kata Kihanga wilayani Karagwe, wameipongeza serikali kwa kuhakikisha inarejesha amani katika familia zao baada ya mradi…

Soma Zaidi »

TASAC yaagiza abiria jeuri washughulikiwe

SHIRIKA la Uwakala wa Huduma za Meli Tanzania (TASAC), limewataka wamiliki na waendeshaji wa vyombo vidogo vya usafiri majini (boti…

Soma Zaidi »
Back to top button