Tanzania

TPDC mguu sawa ulipaji fidia Mtwara

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), leo  limeanza kufanya mchakato wa mwisho wa kulipa fidia kwa wananchi 255, ambao…

Soma Zaidi »

Wanne mbaroni kwa nyara za serikali

JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wanne waliojihusisha na ujangili wa nyara za serikali katika Hifadhi ya Taifa ya…

Soma Zaidi »

TASAC kuboresha mtandao wa mawasiliano Ziwa Victoria

SERIKALI imepanga kuboresha mtandao wa mawasiliano ndani ya ziwa victoria ili kuimarisha usalama wa wavuvi na wasafiri ili kuwawezesha kupata…

Soma Zaidi »

‘Zingatieni wajibu na maadili ya kazi zenu’

WATENDAJI na watumishi wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wametakiwa kutimiza wajibu na maadili ya kazi pindi wanapokuwa katika majukumu…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha ujenzi majosho 7 Msomera

SERIKALI imekamilisha ujenzi wa majosho saba kwa ajili ya kuoshea mifugo, miradi kwa ajili ya malisho ya mifugo ambapo maandalizi…

Soma Zaidi »

RC Mtwara aagiza kusambaratishwa dangulo

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas amelazimika kumtuma kamanda wa polisi wa mkoa huo kwenda kusambaratisha dangulo linalohusisha…

Soma Zaidi »

Serikali yasaini mkataba ujenzi wa MV Magogoni

SERIKALI imesaini mkataba wa ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni wenye thamani ya Sh bilioni 7.5 ambazo ni pamoja na…

Soma Zaidi »

Bilioni 14 kuwezesha sekta ya uvuvi

Serikali imekusudia kutoa fedha Sh bilioni 14 kwa àjili ya ununuzi wa boti za uvuvi za kisasa pamoja na uwezeshaji…

Soma Zaidi »

Mwassa atoa vyerehani 20 uwt

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwassa ametoa msaada wa vyerehani 20 vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 10 kwa…

Soma Zaidi »

Silinde amshukuru Samia miradi ya maendeleo

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI, ambaye pia ni Mbunge wa Tunduma, David Silinde amemshukuru Rais, Dk Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »
Back to top button