Tanzania

Vijana EAC wafundishwa kuhusu amani

SHIRIKA lisilo la kiserikali Agrithaman, limetoa mafunzo kwa vijana 30 wanaotoka katika mashirika mbalimbali mkoani Kagera kuhusu nafasi ya vijana…

Soma Zaidi »

Waliokufa ajalini Tanga wafika 20

IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyotokea wilayani Korogwe mkoani Tanga imeongezeka kutoka 17 hadi 20. Mkuu wa Mkoa wa Tanga,…

Soma Zaidi »

TAKUKURU wambeba aliyekana sahihi yake, madeni CHAMWAI

MWENYEKITI wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Walimu Iramba (CHAMWAI), Ali Mwekwa, amekana kutia saini nyaraka tofauti…

Soma Zaidi »

Walimu wanaozunguka hifadhi wapewa mafunzo

UONGOZI wa hifadhi za Taifa za Ibanda, Kyerwa na Rumanyika, Karagwe umetoa mafunzo kwa walimu  wa masomo ya maarifa ya…

Soma Zaidi »

Mwendokasi waua 17 wakipeleka maiti Kilimanjaro

WATU 17 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha fuso na gari la abiria ambalo lilikuwa limebeba maiti…

Soma Zaidi »

Viongozi wa vijiji chanzo cha migogoro kukiona

WAKUU wa wilaya nchini wameagizwa kuwachukulia hatua za kisheria wenyeviti na watendaji wote wa vijiji na ambao ni chanzo cha…

Soma Zaidi »

Chongolo aiagiza Takukuru kuchunguza bili za maji Morogoro

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi…

Soma Zaidi »

Serikali yafafanua kutotangazwa kwa shule bora

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameunga mkono uamuzi wa Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) wa…

Soma Zaidi »

RC Mtwara: Waharibifu vyanzo vya maji wachukuliwe hatua

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abas amevitaka vyombo vinavyohusika na uchukuaji hatua katika suala la uharibifu wa vyanzo…

Soma Zaidi »

Madiwani wataka migogoro ya mipaka ishugulikiwe Mpanda

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, limemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa manispaa hiyo kushughulikia suala la mipaka…

Soma Zaidi »
Back to top button