Tanzania

Aagiza shule inayopakana na makaburi ijengewe uzio

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka…

Soma Zaidi »

Ahimiza wenye ulemavu kuchangamkia mikopo

OFISA Elimu Maalumu wa Jiji la Dodoma, Issa Kambi amewahamasisha watu wenye ulemavu kujiunga kwenye vikundi ili waweze kupatiwa mikopo…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka uchunguzi miradi ya afya Rukwa

WAZIRI MKUU Kassim
Majaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Hospitali ya Manispaa ya Sumbawanga na Kituo cha…

Soma Zaidi »

Mchungaji afariki katika mfungo akiusia atafufuka

JESHI la Polisi mkoani Geita limethibitisha kifo cha mchungaji, Abdiel Raphael (42) mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu…

Soma Zaidi »

Sh Bil. 8 kutekeleza miradi ya maji Mtwara

SERIKALI imetoa Shilingi Bilioni 8 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Maji, wilayani Mtwara. – Miradi hiyo inatekelezwa na Mamlaka…

Soma Zaidi »

Samia atuma salamu za pole kifo cha Balozi

RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Balozi Celestine Mushi, Balozi wa Tanzania…

Soma Zaidi »

Ndejembi akemea wizi kwa watumishi wa umma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amekemea tabia ya baadhi ya…

Soma Zaidi »

‘Hakikisheni mbolea inawafikia wakulima’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Wakuu wa Mikoa kote nchini wahakikishe kunakuwa na idadi ya kutosha ya mawakala wa pembejeo…

Soma Zaidi »

Ndejembi ataka vipawa vya watumishi viendelezwe

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka waajiri nchini kuongeza ubunifu…

Soma Zaidi »

TBA yapewa mwezi mmoja kukamilisha ujenzi nyumba ya jaji

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, ametoa mwezi mmoja kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button