Tanzania

Samia ataka elimu ujuzi vyuo vikuu

RAIS Samia Suluhu Hassan amevitaka vyuo vya elimu ya juu na taasisi za elimu kuhakikisha elimu wanayotoa kwa wanafunzi wao…

Soma Zaidi »

CCM: Shahada hii kwa Samia ni udhibitisho wa kazi anazofanya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)  kimesema kimeguswa na kufurahishwa na uamuzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kumtunuku shahada…

Soma Zaidi »

Makamu wa Rais aitaka TBA kuzingatia ubora wa majengo

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa wito kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha miradi ya ujenzi wanayotekeleza inazingatia…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka elimu ya bima nchi za Afrika

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka na taasisi zinazohusika na usimamizi wa bima na hifadhi ya jamii barani Afrika zitoe…

Soma Zaidi »

Mkandarasi atekeleza tenda barabara ya Geita Mjini

MKANDARASI wa Kampuni ya Palemon Construction Ltd ya jijini Mwanza anadaiwa kutelekeza tenda ya mradi wa barabara yenye urefu wa…

Soma Zaidi »

Takukuru yaitaja Serikali za Mitaa kinara wa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani hapa imeitaja Serikali za Mitaa kuwa kinara wa taarifa za rushwa…

Soma Zaidi »

NIT yajipanga ujenzi, usanifu wa meli

CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeingia makubaliano na Kampuni ya Dar es Salaam Merchant Group (DMG) ili kuzalisha wataalamu…

Soma Zaidi »

Vikundi vya uokoaji vya wavuvi Kagera vyafundwa

OFISI ya Waziri Mkuu kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa imeanza kutoa mafunzo maalumu ya kuvijengea na kuimarisha ujuzi wa…

Soma Zaidi »

Takukuru yaonya ubadhilifu pembejeo

TAASISI  ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imeanza ufuatiliaji wa  zoezi la ugawaji pembejeo za kilimo…

Soma Zaidi »

Rushwa ya ngono ‘inavyobemenda’ Rushwa ya ngono ‘inavyobemenda’ masomo, ajira vyuoni

“ RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button