Tanzania

FCC kukutanisha wadau wa mazingira na utalii

OGEZEKO la hewa ukaa linachangia kwa kiasi kikubwa mabadiliko ya tabianchi yanaloleta athari katika ikolojia ikiwemo kudhibiti barafu ya Mlima…

Soma Zaidi »

Wasiojulikana waiba kichanga Bukoba

WATU wasiojulikana wameiba mtoto wa mwezi mmoja aliyefahamika kwa jina la Benitha Benedict ambaye wazazi wake ni wakazi wa Migera…

Soma Zaidi »

RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja ‘dogo’ la JPM

MKUU wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa…

Soma Zaidi »

Mauaji ya Lotter: 11  wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa watu 11 waliokutwa na hatia ya kumuua…

Soma Zaidi »

Idadi ya Mawakili wa kujitegemea yavuka 11,000

JAJI Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahim Hamis Juma amewataka Mawakili wapya 358 kufungua ofisi karibu na Mahakama za Wilaya nchi…

Soma Zaidi »

Mavunde atangaza ‘neema’ Mlezi

MBUNGE  wa jimbo la Dodoma  Mjini, Anthony Mavunde amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa madarasa mapya manne na…

Soma Zaidi »

TRA yashinda tuzo uandaaji wa mahesabu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeshinda tuzo ya jumla ya uandaaji wa mahesabu katika taasisi za kiserikali na zisizo za…

Soma Zaidi »

Necta yafuta matokeo asilimia 0.16 darasa la saba

BARAZA la Mitihani Nchini (NECTA) limefuta matokeo yote ya watahiniwa 2194 sawa na asilimia 0.16 ya watahiniwa milioni 1.35 waliofanya…

Soma Zaidi »

NFRA yasambaza mahindi kwenye halmashauri 46

WAKALA ya Taifa ya Hifadhi ya Chakula (NFRA), umepeleka mahindi kwenye halmashauri 46 zenye uhitaji na unaendelea kupokea maombi ya…

Soma Zaidi »

JK: Samia amestahili PhD ya heshima

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Rais Mstaafu, Dk Jakaya Kikwete amesema Rais Samia Suluhu Hassan alistahili…

Soma Zaidi »
Back to top button