Tanzania

Waliorasimisha ardhi wakopeshwa bil 42/- 

ZAIDI ya Sh bilioni 42.02 zimekopwa kutoka taasisi mbalimbali za fedha na wamiliki wa ardhi iliyorasimishwa kupitia Mpango wa Kurasimisha…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Septemba 29, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 29, 2022

Soma Zaidi »

Tanzania njia nyeupe mabadiliko endelevu ya kidijitali

Tanzania inatekeleza mfumo wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali ambao utahakikisha sekta zote za uchumi zinatumia Teknolojia ya Habari na…

Soma Zaidi »

‘Royal Tour’ yazinduliwa Sweden  

Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake uliopo Sweden imezindua filamu ya Royal Tour jijini Stockholm kwa lengo la kuwavutia watalii kutembelea vivutio mbalimbali…

Soma Zaidi »

Wasiojisajili waondolewe – Rais Samia

RAIS Samia Suluhu  amewataka mawakili wa Serikali ambao hawajajisajili kwenye daftari la mawakili wa Serikali wafanye hivyo  kabla muda haujamalizika.…

Soma Zaidi »

DC Ubungo: Serikali inaendelea kutatua kero kwa walimu

MKUU wa Wilaya ya Ubungo Heri James amesema serikali inaendelea kuthamini mchango wa walimu na kuwajali, hali inayodhihirishwa na uwekezaji…

Soma Zaidi »

Hujuma yakosesha umeme wilaya tatu Kigoma

WATU wasiojulikana wamehujumu miundombinu ya Gridi ya Taifa ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutoka kituo cha Nyakanazi…

Soma Zaidi »

­­­Tehama yaongeza kasi, yaokoa fedha Mahakama

UTEKELEZAJI wa miradi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), umesaidia Mahakama ya Tanzania kuongeza kasi ya utoaji haki na…

Soma Zaidi »

Maelfu ya vyeti vya kughushi maombi Bodi ya Mikopo

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini vyeti 6,981 vya kuzaliwa na vifo vina upungufu ikiwamo kughushi kati ya…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa bil 160/- kujenga madarasa 8,000

SERIKALI imetoa Sh bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyopokea ziada ya wanafunzi zaidi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button