Tanzania

‘Wekeni mikakati kudhibiti viashiria uvunjifu wa amani’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote serikalini, kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo…

Soma Zaidi »

Wafugaji kuku Dar wawatwisha lawama wafanyabiashara

BAADHI ya wafugaji wa kuku katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, wameacha kufuga kuku kutokana na hasara waliyoipata…

Soma Zaidi »

CRDB yawatangazia raha wakulima Mtwara

BENKI ya CRDB Kanda ya Kusini, imewashauri wakulima wa zao la korosho mkoa wa Mtwara kutumia tembo card, wakati wa…

Soma Zaidi »

Sababu zaelezwa watoto wachanga kugeuka njano

TAFITI zimeonesha kuwa tatizo la manjano likitokea ndani ya saa 24 baada ya kuzaliwa mtoto, ni suala la kiafya na…

Soma Zaidi »

Vituo vya polisi vilivyochakaa kukarabatiwa

VITUO vyote chakavu vya polisi vimefanyiwa tathmini na fedha zikishapatikana vitafanyiwa ukarabati wakati kipaumbele cha serikali sasa ni kujenga vituo…

Soma Zaidi »

Mbaroni kwa kutumia fedha za mahindi kununua gari

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata Castory Mapunda (42) anayetuhumiwa kutumia sehemu ya Sh milioni 41 alizopewa kwa ajili…

Soma Zaidi »

Waajiriwa wapya 553 Takukuru wabanwe wasihame

SERIKALI imeiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) izuie waajiriwa wapya 553 katika taasisi hiyo wasihame hadi baada…

Soma Zaidi »

Bunge laridhia Itifaki ya Mahakama ya EAC

BUNGE limeridhia Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuongeza Mamlaka ya Mahakama ya jumuiya hiyo kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Mageuzi yaja sekta ya uvuvi kukuza uchumi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango…

Soma Zaidi »

Serikali yafafanua malipo kwa mstaafu aliyefariki

SERIKALI imesema malipo ya mafao kwa mstaafu aliyefariki dunia huzingatia kanuni zilizopo na ikitokea amefariki mfuko hulipa mafao ya mkupuo,…

Soma Zaidi »
Back to top button