Tanzania

Waeleza mikakati ya kupambana na TB Afrika

ILI kufikia malengo ya kupambana na maradhi ya kifua kikuu na ukimwi katika nchi tisa za Afrika kwa kipindi cha…

Soma Zaidi »

Watanzania wanaosoma China waonywa ulevi, ‘unga’

UBALOZI wa Tanzania nchini China, umewataarifu wanafunzi wote wa Tanzania wanaosoma nchini humo kuwa mipaka iko wazi na wanaweza kurejea…

Soma Zaidi »

‘Tumieni ujuzi mliopata wanafunzi wapende fizikia’

WALIMU 26 wa sekondari wa somo la fizikia kutoka shule 13 za serikali jijini Dar es Salaam, wametakiwa kutumia ujuzi,…

Soma Zaidi »

Vigogo Chadema waliomkataa Mwenyekiti Katavi wabanwa

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Mpanda, umewataka viongozi wa jumuiya za chama hicho wilayani humo,…

Soma Zaidi »

ATCL yapunguza nauli wanaosoma China

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka…

Soma Zaidi »

Wapongeza uanzishwaji sekondari ya Nyabange  

WAZAZI wa wanafunzi wanaosoma katika sekondari ya Kemoramba, ambao wanaishi Kijiji cha Nyabange, Kata ya Nyankanga mkoani Mara, wameeleza madhira…

Soma Zaidi »

Yametimia baada ya miaka 22 fidia Mtwara

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), imewakabidhi fedha ya fidia wananchi wapatao 50, waliokuwa wanaidai mamlaka…

Soma Zaidi »

Ataka mashirika ya hiari kuungana kukabili utumikishaji watoto

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela amezitaka Taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) kuungana kudhibiti tabia ya utumikishaji wa watoto…

Soma Zaidi »

Mahabusu maalumu za watuhumiwa dawa za kulevya kuanzishwa

WABUNGE wamekubali kuanzishwa kwa mahabusu zinazojitegemea na maalumu kwa ajili ya watuhumiwa wa dawa za kulevya. Hayo yamo katika Muswada…

Soma Zaidi »

Tanroads yatangaza zabuni njia nne Kibaha-Moro

SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imetangaza zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Kibaha – Mlandizi…

Soma Zaidi »
Back to top button