Tanzania

Rais Samia – ‘twendeni tukahesabiwe’

RAIS Samia Suluhu Hassan amelihutubia taifa akiwataka wananchi wote kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la kitaifa linalotarajiwa kuanza mapema kesho Agosti…

Soma Zaidi »

Huduma za matibabu MOI sasa kupatikana Mtwara

HUDUMA za kibingwa za Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), zitaanza kutolewa katika hospitali mpya ya kisasa ya Rufaa…

Soma Zaidi »

Sh Bil 17 kuimarisha huduma ya mama na mtoto

Benki ya Dunia imetoa msaada wa Sh Bil 17 kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuimarisha huduma ya mama…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara sokoni Tanga wapo kamili kwa sensa

WAFANYABIASHARA wa soko la Mgandini jijini Tanga, wametakiwa kutoa ushirikiano, ikiwemo taarifa  kamili kwa makarani wa sensa, wanapopita kwenye maeneo…

Soma Zaidi »

UVCCM Nyamagana wahamasisha sensa

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Nyamagana, umewataka wakazi wa wilaya hiyo, washiriki kikamilifu kwenye sensa…

Soma Zaidi »

Watumiaji kemikali ya zebaki watakiwa kujisajili

MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(GCLA), imezitaka kampuni pamoja na watumiaji wa kemikali ya zebaki kuhakikisha wanajisajili Ofisi…

Soma Zaidi »

TRA yaonya wahasibu vishoka Kahama

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), Mkoa wa kikodi Kahama, imewataka wafanyabiashara kuacha kuwatumia wahasibu vishoka, ambao wamekuwa wakiwasababishia mtafaruku kwa…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutunza miche kuleta matokeo chanya

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »

Walimu, wanafunzi watumia choo kimoja Butiama

WALIMU wa Shule Shikizi ya Kijiji cha Nyabange, Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama mkoani Mara wanatumia choo kimoja na…

Soma Zaidi »

Wananchi waondolewa ajali ya lori la mafuta kongwa

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remedius Mwema Emmanuel amesema mamlaka wilayani humo zimefanikiwa kuondoa umati wa wananchi uliokuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button