Zanzibar

Majaliwa atoa maagizo wizara tano kukuza Kiswahili

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wizara tano zenye dhamana ya kukuza lugha ya Kiswahili kuweka mikakati kuikuza lugha hiyo na…

Soma Zaidi »

Uanzishwaji wa bima kunufaisha wananchi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa huduma mpya ya Bima…

Soma Zaidi »

Wapongeza kuanzishwa kwa Mfuko wa Hijja

KUANZISHWA kwa Mfuko wa Hijja kumetajwa kuwa kutaongeza nafasi nyingi zaidi kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutekeleza ibada ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aahidi kusaidia wawekezaji wenye changamoto

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema atawasaidia wawekezaji wanaokumbana na vikwazo na changamoto mbalimbali. Aliyasema hayo jana alipozungumza…

Soma Zaidi »

‘Serikali inaboresha mazingira wezeshi kwa wenye ulemavu’

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inajitahidi kuboresha mazingira wezeshi kwa watu wenye ulemavu kwenye sekta zote za jamii zikiwemo…

Soma Zaidi »

Samia aelekeza uendeshaji uchumi wa buluu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema uchumi wa buluu ni fursa na kuwataka wananchi kujipanga na kuweka mazingira mwafaka ya uwekezaji…

Soma Zaidi »

SMZ yaangalia sheria kudhibiti upotevu wa fedha

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema itafanya marekebisho ya sheria zake kwa baadhi ya taasisi zinazosimamia sheria na utumishi wa…

Soma Zaidi »

Wanaoivisha matunda kwa moshi wakemewa

WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imekemea tabia ya baadhi ya wakulima kuchimba mahandaki na kuingiza mazao kwa ajili…

Soma Zaidi »

Mbunge EALA ampongeza Rais Samia kutoa ardhi

Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mshariki EALA, James Ole Millya amempongeza Rais Samia Hassan Suluhu kwa kutoa ardhi…

Soma Zaidi »

Naibu CAG Zanzibar aapishwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amemuapisha Dk Said Khamis Juma kuwa Naibu Mdhibiti…

Soma Zaidi »
Back to top button