Zanzibar

Dk Mwinyi ajivunia manufaa ushirikiano na India

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inajivunia ushirikiano uliopo baina yake na India.…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amewashukuru viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo kwa…

Soma Zaidi »

Kamati Zanzibar yapata elimu miradi Tasaf

KAMATI ya Huduma za Kijamii kutoka Shehia ya Kizimkazi Dimbani Zanzibar, imetembelea Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani ili kujifunza na…

Soma Zaidi »

Wabadhirifu waliotajwa na CAG Z’bar kukiona

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hayupo tayari kuwalinda wabadhirifu wa mali za umma. Ameahidi Ripoti ya Mdhibiti na…

Soma Zaidi »

Abdulla azungumzia heshima kwa watunza nyaraka

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema viongozi wa serikali, wakuu wa idara na…

Soma Zaidi »

‘Zingatieni kiapo cha uaminifu kutunza siri’

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) na makatibu mahsusi (TAPSEA) kuzingatia kiapo cha uaminifu katika kutunza…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aita watalii, wawekezaji wa Qatar

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa mwito kwa Kampuni ya Abu Issa Holding ya Qatar kuangalia uwezekano wa kuongeza…

Soma Zaidi »

SMZ yajipanga kujenga bandari zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema imejipanga kuongeza huduma za usafi rishaji baharini kwa kujenga bandari zaidi ikiwemo ya Kizimkazi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka takwimu za sensa kufanyiwa kazi

SERIKALI ya Zanzibar imesema ina jukumu la kuzifanyia kazi takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ili…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi atoa maelekezo Uhuru wa Vyombo vya Habari

RAIS wa Zanzibar  Dk Hussein Mwinyi ametaka madhimidho ya Siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatumike kama fursa…

Soma Zaidi »
Back to top button