Zanzibar

‘Zingatieni kiapo cha uaminifu kutunza siri’

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) na makatibu mahsusi (TAPSEA) kuzingatia kiapo cha uaminifu katika kutunza…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aita watalii, wawekezaji wa Qatar

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa mwito kwa Kampuni ya Abu Issa Holding ya Qatar kuangalia uwezekano wa kuongeza…

Soma Zaidi »

SMZ yajipanga kujenga bandari zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema imejipanga kuongeza huduma za usafi rishaji baharini kwa kujenga bandari zaidi ikiwemo ya Kizimkazi…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka takwimu za sensa kufanyiwa kazi

SERIKALI ya Zanzibar imesema ina jukumu la kuzifanyia kazi takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ili…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi atoa maelekezo Uhuru wa Vyombo vya Habari

RAIS wa Zanzibar  Dk Hussein Mwinyi ametaka madhimidho ya Siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatumike kama fursa…

Soma Zaidi »

Maazimio 30 Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

MAAZIMIO 30 yamefikiwa kati ya serikali na wadau wa vyombo vya habari, katika kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya…

Soma Zaidi »

‘Wenye mapenzi na uandishi wakasome’

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa  amesema kazi ya uandishi wa habari hapa nchini inasimamiwa na sheria ya huduma za…

Soma Zaidi »

SMZ kujenga nyumba 72 za makazi

SHIRIKA la Nyumba la Zanzibar (ZHC) limetiliana saini na Kampuni ya Simba Development ya Dar es Salaam kujenga nyumba za…

Soma Zaidi »

‘Serikali inaunga mkono uwekezaji uchumi wa buluu’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inaunga mkono uwekezaji katika maeneo ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ateua Naibu CAG

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amemteua Dk Said Khamis Juma kuwa Naibu Mkaguzi…

Soma Zaidi »
Back to top button