Zanzibar

Bil 2.3/- kujenga ofisi ya Zipa Mazizini

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imetenga Sh bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi wa ofisi ya Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aagiza ulinzi vyanzo vya maji

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza taasisi zinazosimamia masuala ya maji safi na salama ikiwamo Wizara ya Maji, Nishati…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aeleza mabadiliko sheria ya Kadhi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ana matumaini kuwa mabadiliko ya Sheria ya Makadhi yataondoa utata na migongano ya…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa maelekezo nyumba za Kikwajuni

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar, Rahma Kassim Ali, amewataka wakazi wa nyumba za maendeleo kuhakikisha wanalipa kodi,…

Soma Zaidi »

Miundombinu ya maji, umeme kuboreshwa Pemba

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetenga sh bilioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza miundombinu ya maji, umeme, mahema, uzio pamoja…

Soma Zaidi »

Benki kusaidia ujenzi chuo cha ubaharia

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imekubali kusaidia ujenzi wa Chuo cha Ubaharia ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kwenda…

Soma Zaidi »

SMZ yahimiza upandaji miti ufukweni

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imewataka wananchi kuotesha miti ya aina mbalimbali ikiwamo mikoko pembezoni mwa bahari kukabili mabadiliko…

Soma Zaidi »

SMZ yatoa bil 36/- kuwezesha uchumi wa buluu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa shilingi bilioni 36 kuwezesha wavuvi wadogo, wakulima wa mwani, wafugaji wa kaa, wafugaji…

Soma Zaidi »

Serikali yaagiza nyumba ivunjwe Z’bar kupisha njia

NAIBU Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba…

Soma Zaidi »

SMZ yataja vipaumbele 5 uchumi wa buluu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ina vipaumbele vitano katika sera ya uchumi wa buluu ili kuimarisha uchumi na…

Soma Zaidi »
Back to top button