Zanzibar

Dk Mwinyi aguswa kifo cha Jecha

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa…

Soma Zaidi »

Jecha Salim Jecha afariki dunia

MWENYEKITI wa zamani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salum amefariki dunia leo. Taarifa zinaeleza Jecha Salum amefariki akiwa…

Soma Zaidi »

Samia:  Anayepewa dhamana asiwe mzembe

RAIS  Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwa na malalamiko, manung’uniko na kelele kutoka kwa wazazi na ndugu wa vijana wanaoondolewa kazini…

Soma Zaidi »

Tanzania yataka mbinu kukabili rushwa Afrika –

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amezitaka nchi za Umoja wa Afrika (AU) kuangalia mbinu za…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maagizo wizara tano kukuza Kiswahili

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wizara tano zenye dhamana ya kukuza lugha ya Kiswahili kuweka mikakati kuikuza lugha hiyo na…

Soma Zaidi »

Uanzishwaji wa bima kunufaisha wananchi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa huduma mpya ya Bima…

Soma Zaidi »

Wapongeza kuanzishwa kwa Mfuko wa Hijja

KUANZISHWA kwa Mfuko wa Hijja kumetajwa kuwa kutaongeza nafasi nyingi zaidi kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutekeleza ibada ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aahidi kusaidia wawekezaji wenye changamoto

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema atawasaidia wawekezaji wanaokumbana na vikwazo na changamoto mbalimbali. Aliyasema hayo jana alipozungumza…

Soma Zaidi »

‘Serikali inaboresha mazingira wezeshi kwa wenye ulemavu’

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inajitahidi kuboresha mazingira wezeshi kwa watu wenye ulemavu kwenye sekta zote za jamii zikiwemo…

Soma Zaidi »

Samia aelekeza uendeshaji uchumi wa buluu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema uchumi wa buluu ni fursa na kuwataka wananchi kujipanga na kuweka mazingira mwafaka ya uwekezaji…

Soma Zaidi »
Back to top button