Year: 2022

Jamii

Vigogo 69 kampuni za ulinzi Arusha kuteta kesho

CHAMA cha Wamiliki wa Kampuni za Ulinzi mkoani Arusha (TSIA), kinatarajia kuja na mpango kazi wa namna ya kufanya operesheni…

Soma Zaidi »
Tanzania

 ‘Polisi anayeonekana akichukua rushwa alishafukuzwa’

JESHI la Polisi nchini limesema video fupi inayoonekana ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari polisi akichukua fedha kwa raia…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Marufuku bodaboda kubeba mishikaki Arusha’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Said Mtanda amepiga marufuku tabia ya waendesha  bodaboda kubeba wanafunzi zaidi zaidi ya mmoja katika…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Makamu wa Rais Uganda avutiwa Makumbusho Dar

MAKAMU  wa Rais wa Uganda,  Jessica Alupo, ametembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam  na kuahidi kurudi tena, ili…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU: Septemba 13, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 13, 2022.  

Soma Zaidi »
Kanda

IGP afanya mabadiliko ya Makamanda

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi. Akitoa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Ubalozi wataka maelezo Mtanzania aliyepigwa China

UBALOZI wa Tanzania nchini China, umeitaka serikali ya mji wa Xian kutoa maelezo juu ya tukio lililotokea jana Septemba 12,…

Soma Zaidi »
Kanda

NGO zaonywa maadili, kutumika kisiasa Katavi

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amezitaka asasi zisizo za kiserikali (NGO), zisitumike kuharibu maadili na tamaduni za kitanzania,…

Soma Zaidi »
Kanda

Dk Mpango aonya uhifadhi wa samaki

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amezindua Jengo la wodi ya wagonjwa wa saratani katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda…

Soma Zaidi »
Kanda

RC Mongella ashangaa chama kipya cha walimu Arusha

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amesema  anatambua uwepo wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) pekee. Kutokana na hali…

Soma Zaidi »
Back to top button