Year: 2022

Kanda

Mradi wa bil 972/- kunufaisha vyuo vikuu 14, TCU, HESLB

SERIKALI imeishukuru Benki ya Dunia kwa kutoa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 425 sawa na Sh…

Soma Zaidi »
Afya

Mikoa 26 yavuka 100% chanjo ya polio

WIZARA ya Afya imesema mikoa 24 imetoa chanjo ya polio kwa zaidi ya asilimia 100. Taarifa ya Waziri wa wizara…

Soma Zaidi »
Kanda

Makambako watakiwa kutumia mawasiliano kunufaika

WANANCHI wa Mji wa Makambako wilayani Njombe mkoani Njombe, wameshauriwa kutumia huduma za mawasiliano kujiimarisha kiuchumi ndani na nje ya…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

Mradi wa Maji Butimba sasa kukamilika Desemba

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa kutekeleza agizo la kuhakikisha Mradi wa Maji Butimba, uliopaswa…

Soma Zaidi »
Kanda

Wasomi watoa ushauri marekebisho tozo

SERIKALI imeshauriwa kuzingatia masuala kadhaa inaporekebisha tozo za miamala ya kielektroniki ukiwamo ubunifu, wataalamu wa uchumi, kupanua wigo wa walipa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga yaelekeza nguvu Caf

BAADA ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa sasa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba mdogo mdogo

SIMBA jana imejiongezea pointi tatu muhimu baada ya kuifunga Tanzania Prisons ya Mbeya kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi…

Soma Zaidi »
Kanda

Waingizaji dawa za kulevya wazidi kubanwa

BUNGE limefanya marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kuongeza idadi ya dawa zinazozuiwa kuingia…

Soma Zaidi »
Bunge

Sh bilioni 4 kukamilisha skimu ya umwagiliaji Chita JKT

SERIKALI imetenga Sh bilioni 4 katika bajeti ya maendeleo mwaka 2022/23 kwa ajili ya kukamilisha awamu ya kwanza ya utekelezaji…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tamasha kumuenzi Mwalimu Nyerere laja

TAMASHA la kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, linatarajiwa kufanyika Oktoba 14, 2022 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini…

Soma Zaidi »
Back to top button